Kutokuchukua Hatari Ni hatari Zaidi……Kutokuchukua Hatari Ni hatari Zaidi……

“Kama mgonjwa atafanikiwa kuzuia kutochomwa sindano kwa sababu ya kuogopa maumivu anayoweza kuyapata basi ana hatari kubwa ya kupoteza maisha yake” Kuchukua hatari kuna maumivu. Maumivu makuu yamejengwa kwenye misingi miwili mikuu. Kwanza ni kulazimishwa kutoka nje ya mazoea. Pili ni kutokuwa na uhakika wa matokeo. Kuchukua hatari ni kufanya [...]

Hizi Ni Ishara Za Kuwa Umetabiri Mafanikio Katika Maisha Yako…Hizi Ni Ishara Za Kuwa Umetabiri Mafanikio Katika Maisha Yako…

Umekuwa ukisikia kuhusu utabiri wa hali ya hewa; mwaka huu kutakuwa na mvua nyingi au chache, kuna kimbunga kitatokea maeneo fulani au mwezi utapatwa siku fulani. Kwa asilimia kubwa tabiri hizo zimekuwa zikitimia. Wanaotabiri ni wa taalamu wa mambo hayo wanayotabiri. Ukiacha hali ya hewa, upo utabiri ambao na wewe [...]

Anza Kuvunjika Ndani……Tengeneza Maisha!Anza Kuvunjika Ndani……Tengeneza Maisha!

Kuna namna mbili za kuvunjika kwa yai ambako kuleta maana mbili tofauti. Kama yai litavunjika kutoka nje, hili ni kiashiria kuwa uhai wa yai lile ndiyo umeishia hapo. Hata kama litakuwa limevunjwa kwa ajili ya kupikwa, lakini hapo hakuna maisha tena ya yai hilo. Kuvunjika kutoka nje ni MWANZO WA [...]

Ukimkaribisha Huyu….Umepata Vyote Maishani MwakoUkimkaribisha Huyu….Umepata Vyote Maishani Mwako

Mama mmoja alitoka nje muda wa mchana na kukuta wanaume watatu nje wenye ndevu ndefu. Alivyowaona, akahisi kuwa lazima wangekuwa na njaa kwa muda huo. Akaamua awakaribishe ndani ili aweze kuwapa chakula wale. Ndipo wakamuuliza kama mme wake alikuwa ndani. Mke akajibu kuwa mme wake hayupo, ameenda kazini. Wakamuambie kuwa [...]

Fumba Macho Yako Ukione Hiki……Utashangaa Sana!Fumba Macho Yako Ukione Hiki……Utashangaa Sana!

Je umewahi kujiuliza kwa nini watu hufumba macho wanapoomba? Je umewahi kujiuliza kwa nini watu hulia huku wakiwa wamefumba macho? Na kwa nini pia watu hucheka kwa furaha kubwa wakiwa wamefumba macho? Kama haitoshi kwa nini mtu huota ndoto akiwa usingizini akiwa amefumba macho? Kuna siri kubwa kwenye kufumba mambo. [...]