Kama Hujafanya Maamuzi Basi Jibu Ni Hapana .Kama Hujafanya Maamuzi Basi Jibu Ni Hapana .

Ndugu chochote kilichotokea maishani mwako ni matokeo ya maamuzi yako. Kama umepata matokeo mazuri basi hongera kwa kufanya maamuzi sahihi. Kuna wakati umetakiwa ufanye maamuzi kwa kusema ndiyo au hapana, lakini hukufanya hivyo. Lakini hata wakati huo ulifanya maamuzi. Na maamuzi yako yalikuwa hapana. Maamuzi ni kitu kigumu ndiyo maana [...]

Fanya Kazi Ya Masaa 8 Kwa Saa 1.Fanya Kazi Ya Masaa 8 Kwa Saa 1.

Kama ufanisi wa kazi ungekuwa unapimwa kwa kiasi ambacho upo ‘busy’ basi leo u ungekuwa umefanikiwa sana. Bahati mbaya ufanisi wako unapimwa kwa matokeo unayoyazalisha. Umekuwa ukiamka ukiwa na nguvu lakini unarudi jioni ukiwa umechoka sana. Ukilinganisha nguvu na muda uliowekeza kisha matokeo uliyoyapata ni vitu viwili tofauti. Mara nyingi [...]

Kuna Maumivu Aina Mbili Mbele Yako; Chagua Moja Kwa Busara.Kuna Maumivu Aina Mbili Mbele Yako; Chagua Moja Kwa Busara.

Maisha ni kuchagua. Hakuna kitu ambacho huwa kinatokea kwa bahati mbaya, vingi huwa ni machaguo yako. Maisha uliyonayo sasa ni machagua yako ya siku za nyuma. Hata maumivu yana machaguo. Kuna machaguo makuu mawili ya maumivu, hayo ndiyo huleta mustakabali wa maisha yako. Busara yako ndiyo itaamua mwisho mwema au [...]

Umeuongeza Uzito Mwenyewe.Umeuongeza Uzito Mwenyewe.

“Usishikilie Kinachokuumiza Kwa Muda Mrefu” Watu wengine walijifunza na kutua mizigo yao na wewe lisome somo hili kwa umakini mkubwa. Hakika hutateswa na mizigo hiyo kamwe. Akiwa kwenye mafunzo ya kukabiliana na maisha ya dunia hii iliyojaa kila aina ya changamoto na makwazo mengi dada mmoja alikuja na glasi ikiwa imejaa maji [...]

Kwani Wewe Umejaribu Mara Ngapi?Kwani Wewe Umejaribu Mara Ngapi?

Kila kitu ninachokifanya hakitiki! Kwani umejaribu mara ngapi? Mimi nyota yangu imefifia inabidi niende kwa mtaalamu aisafishe, mambo yangu hayaendi! Kwa umejaribu mara ngapi? Nilitaka kuwa mbobezi kwenye eneo hili lakini naona kama nipo palepale. Kwa wewe umefanya kwa muda gani? Nimefanya muda mrefu sana lakini sipati majibu, sasa naacha. [...]

Usipasue Yai Kuangalia Ukuuaji wa kifaranga, Subiri Muda Wake; Kitatoka tu!Usipasue Yai Kuangalia Ukuuaji wa kifaranga, Subiri Muda Wake; Kitatoka tu!

Unafahamu kuwa ili kifaranga cha kuku kiweze kupatikana basi ni lazima yai liatimiwe ama kwa kuku mwenye au kwa kutumia mashine. Kwa kulifahamu hilo umekuwa mwaminifu sana kusubiri kwa takribani siku 21 ili kukishuhudia kifaranga kikitoka. Hakuna hata siku moja uliposema natamani kuona kifaranga kinaendeleaje hivyo ukavunja yai ili kuona [...]