Hivi Ndivyo Majasiri Wanavyoishinda Hofu.Hivi Ndivyo Majasiri Wanavyoishinda Hofu.

Ukiwaona watu majasiri unaweza kuwaonea wivu na kutamani kuwa kama wao. Majasiri huchukua hatua hata zile ambazo watu wengine wanona wasingeweza. Mara nyingine majasiri wanapochukua hatua hizo hofu huanza kuwapata wao wasio na ujasiri. Majasiri huchukua hatua ambazo zinaogofya. Kwa haraka unaweza kudhani wao wamezaliwa bila hofu, la hasha! Kuna [...]

Anza Leo, Anza Sasa, Anza Na Ulichonacho.Anza Leo, Anza Sasa, Anza Na Ulichonacho.

Gari hufanikiwa kuwafikisha watu wanakotaka kufika endapo tu dreva atachukua hatua ya kuanza safari kwa kuliwasha gari na kuendelea na safari. Licha ya tamaa anayoweza kuwanayo anayetaka kumiliki nyumba, lakini tamaa hiyo itatimia pale fundi atakapochukua hatua ya kuanza kuchimba msingi ambapo mwenye nyumba huyo anaweza asielewe chochote. Ukilichukua jiwe [...]

Kaa Juu za Mizani Hizi Kujua Kama Unakua au Unakufa.Kaa Juu za Mizani Hizi Kujua Kama Unakua au Unakufa.

Kuna kauli inasema kama hukui basi unakufa. Ni kauli muhimu sana ya kupima jinsi unavyoenenda katika maisha yako. Pia ni kiashiria kuwa kumbe ili uweze kufanikiwa unahitaji kukua, la sivyo utakuwa unakufa. Je kwa jinsi unavyofanya mambo yako unakua au unakufa? Mtoto akipelekwa kliniki ili kujua kuwa unakua au la [...]

Hamasa Inaweza Kuzima Njiani, Lakini Huyu Ataendelea Kuwaka Mpaka Mwisho……..Hamasa Inaweza Kuzima Njiani, Lakini Huyu Ataendelea Kuwaka Mpaka Mwisho……..

Je unakumbuka siku ulipopata hamasa kubwa ya kufanya kitu? Labda baada ya mtu aliyefanikiwa kukusimulia jinsi inavyowezekana kupata unachokitaka, ulijisikiaje? Naamini ulikuwa u unajisikia mwenye nguvu kubwa ya wewe pia kwenda kufanya kazi. Je unakumbuka mwaka mpya ulipokuwa unaanza na kuwasikia watu wengi wakisema mwaka mpya na mambo mpya. Ulikuwa [...]

Ukikitamani Kitu Fanya Hivi Ili Ukipate…..Ukikitamani Kitu Fanya Hivi Ili Ukipate…..

Kuna vitu umevitamani uvipate maishani. Tena kwa sababu ya kuvitamani na na kuvifikiri kwa muda mrefu, umeviota hata usiku. Umetamani kuwa na maisha fulani hivi ambayo watu wengine hawayaoni. Umetamani kuwa na biashara fulani lakini bado hatujaiona. Umetamani kuwa mtu fulani lakini bado hajawa mtu huyo. Umetamani…..lakini…….hujawa. Hii ni moja [...]

Huu Ndiyo Wakati Wa Kuonyesha Imani Yako!Huu Ndiyo Wakati Wa Kuonyesha Imani Yako!

Mambo mengi kama siyo yote ya msingi utakayokuwa unafanya maishani mwako hayatakuwa na majibu ya papo kwa papo. Hivyo unanitaji kusubiri ndipo uone matokeo. Kuna matokeo yatachukua muda mfupi kutokea, wakati mengine yakichukua muda mrefu. Kwa sababu ya matokeo kuchelewa, kuna watu wamekosa uvumilivu kisha kukata tamaa. Lakini kwa sababu [...]

Una Machaguo Mawili, Fanya Uchaguzi Bora!Una Machaguo Mawili, Fanya Uchaguzi Bora!

Katika kuisi maisha yako una machaguo mawili, huna budi uchague moja. Uchaguzi wako leo ndiyo huamua nini ukipate kesho. Chaguo la kwanza ni kuchukua hatua sahihi zenye maumivu kisha upate unachokitaka na kustahili. Chaguo la pili ni kuyakwepa maumivu ya kufanya kitu sahihi sasa, lakini kuja kukutana na maumivu ya [...]

Dhoruba Inakuja, Simama Hapa Usianguke!Dhoruba Inakuja, Simama Hapa Usianguke!

Uimara wa nyumba hupimwa wakati wa dhoruba. Sifia nyumba yako kwa uzuri na uimara wake, lakini sifa hizo zitathibitika pale mafuriko na pepo kali vitakapokuja. Uimara wa nyumba huanzia kwenye msingi wake. Nyumba iliyojengwa kwenye msingi imara, hustahimili mafuriko na pepo kali. Licha ya mafuriko na pepo kali kuifikia nyumba, [...]

Lazima Fundi Akatekate Kitambaa Kwanza!Lazima Fundi Akatekate Kitambaa Kwanza!

Kama hujawahi kumuona fundi cherehani akikatakata kitambaa wakati anashona nguo yako, unaweza kugombana naye. Utagombana naye baada ya kuona kitambaa kilichokuwa kizima na kupendeza sasa kinakatwakatwa kwenye sura isiyoeleweka. Lakini kama utapana nafasi ya kusubiri pale atakapoanza kuviuganisha vipande hivyo, utaannza kupata faraja kuwa kuna kitu cha maana kwenye kile [...]