Vikwazo Vitakaposimama Mbele Ya Safari Yako Ya Mafanikio, Fanya Hivi…..Vikwazo Vitakaposimama Mbele Ya Safari Yako Ya Mafanikio, Fanya Hivi…..

Licha ya mipango na ndoto kubwa ulizonazo, malengo na mipango mizuri uliyonayo hayo yote hayatazuia wewe usikutwe na changamoto. Katika safari ya kusaka mafanikio makubwa unayostahili changamoto ni lazima zikukumbe. Changamoto nyingine huja na maumivu makali kiasi cha mtu kufikiria kukata tamaa, au kuacha kile anachokifanya. Hiki pia ni kitu [...]

Anza Na Ukuaji Huu Kujihakikishia Mafanikio.Anza Na Ukuaji Huu Kujihakikishia Mafanikio.

Mtoto akizaliwa na kuendelea kubaki na uzito uleule bila ya kuongezeka atashangaza sana. Jitihada mahususi zitachukuliwa ili kwanza kujua tatizo alilonalo na pili kulitatuta tatizo hilo. Hiki ndicho kinachotakiwa kufanyika pia katika maisha ya mtu. Kama unaona muda unazidi kwenda lakini kuna hatua ndogo sana unazipiga au hakuna hatua kabisa [...]

Zuia Kazi Isitanuke; Kamilisha Kazi Nyingi Kwa Muda Mfupi.Zuia Kazi Isitanuke; Kamilisha Kazi Nyingi Kwa Muda Mfupi.

Zuia kazi isitanuke, unaweza ukawa umeshituka au kujiuliza kuwa inawezekanaje kazi ikatanuka! Ni kweli kazi huwa zinatanuka. Hapa utajifunza namna ambavyo umekuwa ukiruhusu kazi zitanuke na kuchelewesha mafanikio yako. Sheria ya Parkinson inasema “It is a commonplace observation that work expands so as to fill the time available for its [...]

Unaweza Kutotumia Zaidi Ya Kipato Chako.Unaweza Kutotumia Zaidi Ya Kipato Chako.

Moja ya kitu kinachowakwamisha watu wengi kutengeneza utajiri na kufikia uhuru wa kifedha ni matumizi. Hizi ni fedha ambazo zikienda hazirudi tena. Mkwamo huo unakuja pale matumizi yanakuwa makubwa kuliko kipato. [ ] Ukitumia zaidi ya kipato chako huwezi kupata fedha ya kuweka akiba.[ ] Ukitumia zaidi ya kipato chako [...]

Utajiri Unaanza na Hicho Kidogo.Utajiri Unaanza na Hicho Kidogo.

Moja ya kitu ambacho kingechaguliwa na wengi kutoka kwenye vitu ambavyo binadamu angapenda awe navyo ni UTAJIRI. Utajiri ninaotaka kuzungumuzia hapa ni utajiri wa fedha. Utajiri wa fedha ni kuwa na kiasi kikubwa cha fedha ambacho kinakupa uhuru. Uhuru wa kifedha ni hatua ambayo mtu hufikia ambapo fedha inakuwa sio [...]

Unaweza Kuwa Na Siku Nzuri Kila Siku .Unaweza Kuwa Na Siku Nzuri Kila Siku .

Leo sina “mood” ya kufanya kazi. Leo sijisikii kuongea au kuongoleshwa. Leo nina siku mbaya kazini. Siku za jumatatu siyo nzuri kazini. Haya ni baadhi ya maneno ambayo yamekuwa yakisikiwa kwenye akili na midomo ya watu, inawezekana na wewe mwenyewe. Ni meneno yanayoashiria unaweza kuwa na siku nzuri au mbaya. [...]