Nguzo Za Mafanikio Ya Maisha Yako.Nguzo Za Mafanikio Ya Maisha Yako.

Linapokuja swala la kujenga mafanikio, ni sawa tu na kujenga ghorofa. Ghorofa huhitaji msingi imara na wa kudumu. Ghorofa huimarishwa na nguzo ambazo husimikwa maeneo tofauti ili nyumba hiyo kuwa imara. Kujenga nyumba kubwa kama ghorofa bila kuweka nguzo ni sawa na kujidanganya kwani ghorofa hilo huweza kuondoka hata kabla [...]

Jiunge Na Programu Hii Utoboe Mwaka Huu 2023, Vinginevyo……Jiunge Na Programu Hii Utoboe Mwaka Huu 2023, Vinginevyo……

[ ] Umeyafikisha wapi malengo uliyoyapanga Januari 2023?[ ] Malengo mangapi ya mwaka 2023 bado unayakumbuka mpaka sasa?[ ] Iko wapi hamasa ya kufanya makubwa uliyokuwa nayo Januari 2023?[ ] Je hujaanza kuishi kwa mazoea uliyokuwa unaishi mwaka 2022 na kukufanya uumalize mwaka kwa unyonge?[ ] Unafanya nini unapokutana na [...]

Endelea Kumwagilia; Huwezi Kuchuma Matunda Kwenye Mche.Endelea Kumwagilia; Huwezi Kuchuma Matunda Kwenye Mche.

Ili kuweza kupata matunda kutoka kwenye mti, mbegu yake huzikwa ardhini kisha kuota na kutoa mche. Mche wake huendelea kumwagiliwa ili uendelee kukua na kuwa mti kisha kuzaa matunda. Itakuwa ni ajabu mkulima huyo kuanza kuulaumu mche wa mti huo kwa kutokutoa matunda. Hii ni kwa sababu mkulima hujua ni [...]

Siri Ya Kubadili Maisha Yako Imejificha Hapa.Siri Ya Kubadili Maisha Yako Imejificha Hapa.

Kuna maisha unayoyataka hayo unayoyaishi sasa siyo yenyewe. Kuna vitu unavyotamani uwe navyo, ulivyo navyo siyo vyenyewe au ni vichache. Una kipato unachotamani uwe nacho, ulichonacho hakikutoshi. Nawezaje kuishi maisha yangu ninayoyapenda? Nawezaje kupata kipato kinachonipa uhuru? Nawezaje kuwa mtu ninayetaka? Naanzia wapi? Huwa inaonekana kuwa kama kuna siri iliyojificha [...]

Hiki Ndicho Kinaishinda Elimu Na Kipaji .Hiki Ndicho Kinaishinda Elimu Na Kipaji .

Ningekuwa nina elimu kubwa kama elimu ya chuo, ningefika mbali sana. Ningekuwa na kipaji kama mtu fulani ningepiga hatua kubwa sana maishani mwangu. Ndugu wapo wenye elimu kubwa hata za vyuo vikuu lakini hawana mafanikio makubwa wanayostahili. Kuthibitisha hilo, fanya uchunguzi, matajiri wengi duniani na nchini kwako hawana elimu kubwa [...]

*Usipige Mbizi Sakafuni, Utaumia!**Usipige Mbizi Sakafuni, Utaumia!*

Ukimuona mtu kama anaogelea sakafuni ambako hakuna maji yoyote utamshangaa sana. Ni rahisi sana kumfikiria kuwa atakuwa amechanganyikiwa. Imezoeleka kuwa watu huogelea majini, ndiyo maana itakuwa ni ajabu sana kumkuta mtu anaonekana kuogelea angali hayupo kwenye maji. Lakini nasikitika kukuambia kuwa hiki ni kitu ambacho umekuwa ukikifanya maishani mwako. Kuogelea [...]

Ukifanikiwa Kupeleka Mkono Wako Mdomoni Tu, Umemaliza Kazi!Ukifanikiwa Kupeleka Mkono Wako Mdomoni Tu, Umemaliza Kazi!

Unakula ili uishi. Lakini ili uweze kukamilisha hilo, mwili wako huwa unasubiri mpaka upeleke tonge mdomoni. Ukitafuna na kumeza, kazi inakuwa imeishia hapo. Wewe hujui kinachoendelea baada ya hapo. Unasubiri njaa iume tena. Wewe kaa kwenye hewa. Lakini pia ukifanikiwa kukaa kwenye hewa kinachofuata ni wewe kuendelea na shughuli zako. [...]

Ni Mpaka Uanze Ndipo Utamaliza.Ni Mpaka Uanze Ndipo Utamaliza.

Natamani niwe wa pekee, natamani niwe maarufu, natamani niwe tajiri, natamani niwasaidie wengine, natamani niishi kusudi langu, natamani niwe na ridhiko moyoni mwangu. Unaweza ukawa unatamani vitu vingi. Umekuwa mzuri sana kwenye kutamani na mara nyingine kuweka malengo. Inawezekana ni muda mrefu sana tangu umeanza kutamani na kupanga lakini huna [...]

Kwa Nini Husogei?Kwa Nini Husogei?

Kama utamuona mtu sehemu hiyo hiyo barabarani kwa muda mrefu bila ya kwenda mbele au kurudi nyuma, utamshangaa sana. Unaweza kujiuliza maswali mengi ambayo ukakosa majibu ya kwa nini yupo pale akiwa ameganda kwa muda mrefu hivyo? Na mara nyingine unaweza kwenda mbali zaidi ukiamini atakuwa amechanganyikiwa. Lakini mgando kama [...]

Usiendelee Kuishi Na Yeye Feki, Baki Kuwa Wewe HalisiUsiendelee Kuishi Na Yeye Feki, Baki Kuwa Wewe Halisi

Licha ya kwenda mbele ya kioo na kujitazama lakini bado ukitazama ndani yako unaweza kumuona mtu mwingine tofauti na yule uliyemuona mbele ya kioo cha kujitazamia.  Ø  Je umekuwa ukiishi lakini unaona kama kuna mtu mwingine zaidi ya ulivyo sasa? Ø  Je upo sehemu lakini huwa unajiona kuwa kuna sehemu [...]