Hiki Ni Kizuri Zaidi Kuliko Ulichoamua Kufanya .Hiki Ni Kizuri Zaidi Kuliko Ulichoamua Kufanya .

Itakuwaje kama nitafanya halafu nikashindwa? Watu watanichuliaje kama nikianzisha kitu halafu nikashindwa? Watu watanionaje kama nikiisema na kuanza kuiishi hii ndoto yangu kubwa, si wataniona chizi? Itakuwaje kama nikianzisha biashara halafu ikafa, si nitakuwa nimepoteza fedha zangu? Haya ni maswali uliyojiuliza na kwa sababu majibu yale yalikuwa hayakupatii uhakika wa [...]

Hili Ndilo Eneo Lako La Kujidai.Hili Ndilo Eneo Lako La Kujidai.

Ukimuona nyani akiwa msitini akiruka kutoka tawi moja la mti kwenda jingine utadhani yeye ndiye aliye umba matawi hayo na kuwa ana gundi miguuni mwake. Hili ni eneo lake la kujidai. Ukimuona samaki akiwa majini akiogelea kwa maringo utasema anaijua kweli sayansi ya maji. Maji ni eneo lake la kujidai. [...]

Huwezi Ukampuuzia Huyu, Halafu Ukabaki Salama.Huwezi Ukampuuzia Huyu, Halafu Ukabaki Salama.

Moja ya mbinu ambayo watu hutumia kuachana na kitu ambacho hakina thamani kwao ni kupuuzia. Mtu anaweza kumpuuzia mtu mwingine ili asimpotezee umakini au muda. Unapofikia hatua ya kupuuzia, ina maana umekuwa tayari kukipoteza kitu hicho. Lakini sasa watu wameenda mbali zaidi wakipuzia kitu ambacho ndiyo kimeshikiria mafanikio yao. Kitu [...]

Usihangaike Tena, Huyu Ndiye Aliyebeba Hatima Yako.Usihangaike Tena, Huyu Ndiye Aliyebeba Hatima Yako.

Ndugu yangu! Kumbuka tena leo kitu ambacho umekuwa ukikitamani kukipata kwa muda mrefu lakini bado hujakipata. Umekuwa ukiumiza kichwa ni kwa namna gani unaweza utafanikiwa kukipata kitu hicho. Kuna muda umefikiria kuwa wazazi wako ndiyo wanajukumu la kuamua hatima ya maisha yako. Kuna wakati umefikiri kuwa serikali yako ndiyo inayowajibika [...]

🔥🔥Huu Ndiyo Moto Pekee Wa Kuivisha Mafanikio Yako. 🔥🔥🔥🔥Huu Ndiyo Moto Pekee Wa Kuivisha Mafanikio Yako. 🔥🔥

Weka pilipili, weka chumvi, weka ndimu, weka chochote utakachotamani kukiweka kwenye nyama unayoitamani kula, kama hakutakuwa na mtoto wa kuivisha nyama hiyo, itakuwa shida kuwa na kitoweo. Tamani mafaniko uwezavyo, panga upangavyo, hata kama usipolala kabaisa lakini kama hutaweka kazi basi tambua hakuna matokeo yoyote utakayopata kama hakutakuwa na wa [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuwa ‘Jiniasi’ Mwaka Huu 2023.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuwa ‘Jiniasi’ Mwaka Huu 2023.

Huyu ni ‘Jiniasi’ haya ni maneno ambayo amekuwa akiambiwa mtu ambaye anafanya kitu fulani kwa uwezo mkubwa na kisha kupata matokeo makubwa na ya kushangaza. Majiniasi wameonekana kuwa watu wa pekee sana na wamependelewa. Lakini ni kweli Majiniasi ni watu waliopendelewa? Je wewe siyo Jiniasi? Je huwezi kuwa Jiniasi sasa? [...]

Njia Pekee Ya Kukutana Na Unachokitaka Mwaka 2023Njia Pekee Ya Kukutana Na Unachokitaka Mwaka 2023

Heri ya mwaka mpya. Naamini una shauku kubwa ya kupata kitu cha utofauti mwaka huu 2023. Hii ni shauku iliyokujia baada ya kuuanza mwaka mpya. Au ni shauku iliyokuja baada ya mwaka jana kukosa kile ulichokitaka na hivyo kuona mwaka huu ni fursa nyingine ya kukipata kitu hicho. Au ni [...]

Njia imefungwa. Pita huku!Njia imefungwa. Pita huku!

Njia imefungwa! Pita kulia! Pita kushoto! Haya ni maandishi unayoweza kukutana nayo kwenye barabara ambayo umezoea kuipita. Kukiwa na matengenezo kwenye barabara uliyozoea kupita, barabara hiyo hufungwa ili kupisha ukarabati huo. Lakini mamalaka huwa haziachi watumiaji wateseke, badala yake hutafuta namna ya kuwawezesha kuendelea na safari. Huandaa njia nyingine na [...]

SEMINA! SEMINA! SEMINA!     PANGA KISHA TIMIZA  SEMINA! SEMINA! SEMINA!     PANGA KISHA TIMIZA  

 MAADA: KUJENGA NIDHAMU KALI YA KUKUWEZESHA KUTIMIZA MALENGO YAKO Je umekuwa ukiweka malengo kila mwaka lakini mwaka huo unaisha ukiwa huna matokeo? Inatosha sasa!  Pata picha umeweka malengo mazuri ya mwaka 2023 kisha ukafanikiwa kuyafanyia kazi na yakakupatia matokeo makubwa ambayo hujawahi kuyapata. Utajisikiaje? AMSHA UWEZO imekuandalia semina inayohusu ‘’KUJENGA [...]

Ni Mpaka Uviweze Hivi Vidogo Kwanza!Ni Mpaka Uviweze Hivi Vidogo Kwanza!

Ndugu yangu, najua unatamani vitu vikubwa kwenye maisha yako. Ni kweli una haki ya kuvipata. Lakini kama hujavipata, kuna vitu vinavyokuzuia. Kuna vitu vinavyokuzuia usipate vitu vikubwa. Vitu hivyo vinaitwa vitu vidogo. Kumbuka hata vitu vikubwa vinaanza na udogo wake. Wanasema safari ya maili elfu moja inaanza na hatua moja. [...]