Wewe Ni Mbegu, Toa Matunda!Wewe Ni Mbegu, Toa Matunda!

Wewe ni mbegu. Kama mbegu nyingine, unatarajiwa uweze kuzaa matunda yenye mbegu kisha nayo yazalishe matunda mengine. Sababu mojawapo inayosababisha kutokukua au ukuaji mdogo ni kwa sababu ya kutoitumia mbegu iliyopo ndani yako kuzaa matunda na mbegu nyingine pia. Mbegu ya mwembe huzaa maembe yenye mbegu kisha mbegu hizo huwa [...]

Je Unataka Kubadili Maisha Yako! Anzia Hapa.Je Unataka Kubadili Maisha Yako! Anzia Hapa.

Je unaridhika na maisha unayoishi sasa? Kama jibu ni hapana, ina maana hayo siyo maisha unayostahili, hivyo unahitaji kubadili maisha hayo. Wapi kwa kuanzia kubadili maisha yako, imekuwa changamoto kwa watu kwa watu wengi. Wapo wengi waliokwamia hapo. Harvey Specter alisema “If you want to change your life change your [...]

Hii Ni Siri Ambayo Hujawahi Kuifahamu. Kwa Nini Ulizaliwa Ukiwa Umevikunja Vidole?Hii Ni Siri Ambayo Hujawahi Kuifahamu. Kwa Nini Ulizaliwa Ukiwa Umevikunja Vidole?

Happy Birthday To Me Alfred. Haya ni maneno maalumu ambayo ningeanza nayo siku ya leo. Ni tarehe kama ya leo miaka kadhaa, nilibahatika kuja hapa duniani. Wakati nikiendelea kutafakari kuhusu siku hii muhimu, nimekumbuka makala moja niliyoiandika mwezi wa nne mwaka huu na kurusha hewani. Huu ni ujumbe ambao nimeona [...]

Kwa Nini Wewe Hupati Licha Ya Dunia Kuwa Na Utele ?Kwa Nini Wewe Hupati Licha Ya Dunia Kuwa Na Utele ?

Moja ya sifa nzuri ya dunia ambayo kila mtu angependa kuisikia ni hii; dunia ina utele. Ni kweli dunia ina utele. Neno utele linamaanisha vitu vingi visivyoisha. Kuna viashiria vingi vinavyoonyesha utele wa dunia. Kwa mfano dunia ina zaidi ya watu bilioni nane kwa sasa. Watu wote hawa wanahitaji hewa [...]

Hivi Ndiyo Viashiria Vya Kujua Kama Unakua.Hivi Ndiyo Viashiria Vya Kujua Kama Unakua.

Zimebaki siku chache tu niuage mwaka huu na kuuakaribisha mwaka mwingine mpya. Itakuwa bye bye 2022 na karibu 2023. Haya ni mawazo ambayo yapo kwenye vichwa vya watu wengi ikiwa ni mwisho wa mwaka huu ambao unaonekana ulianza juzi tu. Inawezekana na wewe ni miongoni mwa watu wanaosubiria kwa hamu [...]

Mafanikio Yanajificha Kwanza Huku!Mafanikio Yanajificha Kwanza Huku!

Umeyasubiri kwa muda mrefu lakini huyaoni kwako kama ukiyaona ni kwa baadi ya watu tena wachache. Unaanza kujiuliza yako wapi haya? Nitayapataje? Haya ni mafanikio ambayo yamekuwa ni changamoto kwa watu wengi kuyapata. Sizungumzii mafaniko yoyote yale, bali yale unayostahili. Umeumbwa na upekee ndani yako. Upekee huo ni nguvu ya [...]