Mafanikio Yanajificha Kwanza Huku!Mafanikio Yanajificha Kwanza Huku!
Umeyasubiri kwa muda mrefu lakini huyaoni kwako kama ukiyaona ni kwa baadi ya watu tena wachache. Unaanza kujiuliza yako wapi haya? Nitayapataje? Haya ni mafanikio ambayo yamekuwa ni changamoto kwa watu wengi kuyapata. Sizungumzii mafaniko yoyote yale, bali yale unayostahili. Umeumbwa na upekee ndani yako. Upekee huo ni nguvu ya [...]
Haya Ndiyo Macho Ya Kukufikisha Unakostahili Kufika.Haya Ndiyo Macho Ya Kukufikisha Unakostahili Kufika.
Tangu umezaliwa mpaka sana, ni muda mrefu umepita. Kuna sehemu umekuwa ukiwaona watu wamefika unabaki unashangaa wamefikaje huko! Kuna mambo makubwa watu wameyafanya, unashangaa wamewezaje! Unajaribu kufanya lakini hufiki mbali, unajiuliza tatizo ni nini? Mara nyingine ukahitimisha kuwa hao waliofanya mak uh bwa wamependelewa. Kuna kitu kimekuwa kikikosekana kwako ndiyo [...]
Unataka Picha Ya Maisha Yako? Bonyeza Kitufe Hiki!Unataka Picha Ya Maisha Yako? Bonyeza Kitufe Hiki!
Mbona siioni hata picha moja?! Mungu wangu inamaana tukio zima hatujafanikiwa kupata hata picha moja! Umeniumbua leo! Haya yalikuwa ni maneno ya Bwana mmoja aliyekuwa ametoka kukamilisha zoezi la kufunga harusi. Baada ya kuipamba vizuri shughuli ya harusi yake alikuwa na shauku kubwa ya kuyaona matokeo yaliyotokea. Lakini furaha na [...]
*Hivi Ndivyo Umekuwa Ukiukuza Mbuyu Kwenye Chungu.**Hivi Ndivyo Umekuwa Ukiukuza Mbuyu Kwenye Chungu.*
Mbuyu ni miongoni mwa miti mikubwa duniani. Huheshimika kwa unene wake kwani hata kama upo mbali utaonekana kwa sababu ya unene huo. Kwa sababu ya ukubwa wa mti wenyewe, mizizi yake hulazimika kuwa mikubwa na hivyo kusambaa na kujishikiza kwa uimara mkubwa kwenye ardhi ili kuhakikisha unaendelea kuusimamisha mti huo. [...]
Kama Unataka Kufanikiwa, Usiige Alichokifanya Huyu Bwana Misosi.Kama Unataka Kufanikiwa, Usiige Alichokifanya Huyu Bwana Misosi.
Leo kuna harusi tatu! Watanikoma! Haya ni maneno ambayo jamaa mmoja maarufu kijijini alijisemea moyoni baada ya kuambiwa kuna harusi tatu kijijini hapo. Umaarufu wa huyu jamaa ulikuwa ni kwenye kupenda kula sana. Alipenda kula kuliko kitu kingine chochote. Wanakijiji walioamua kumbatiza jina jamaa huyo na kumuita bwana misosi. Ilikuwa [...]
Hiki Ndicho Kinachokufanya Ubweteke, Kimepoteza Wengi!Hiki Ndicho Kinachokufanya Ubweteke, Kimepoteza Wengi!
Mimi sina shida! Kwa nini nijitese! Nitafanya kesho! Nisome vitabu ili iweje? Nitakachopata ni hicho hicho. Haya ni maneno ambayo umeshawahi kuyasema au umesikia wengine wakiyasema. Haya ni maneno yenye ishara ya kuridhika. Huku ni kuridhika hata kama hujapata matokeo yale uliyostahili. Ni kuridhika kwa kujidanganya huhitaji kitu hicho, ingali [...]
Kwani Wewe Mwenyewe Unasemaje ?Kwani Wewe Mwenyewe Unasemaje ?
Ganda la yai huwa halipasuki kwa kuona muda wa kifaranga kutoka nje umefika, bali ni baada ya kifaranga kuamua kutaka kutoka nje ya ganda. Ganda huendelea kubaki pale likimuuliza kwani kifaranga mwenyewe unasemaje? Muda wa kutoka nje ukifika kifaranga husema nataka kutoka nje hata kama siuoni mlango wa kutokea. Kadri [...]
Haya Ndiyo Maamuzi Yenye Hatima Njema Kwenye Maisha Yako.Haya Ndiyo Maamuzi Yenye Hatima Njema Kwenye Maisha Yako.
Nini kinachoamua maisha yako ya kesho? Utakuwa wapi miaka kumi ijayo? Nini utakuwa umeshafanya muda wako wa kuishi hapa duniani utakapokuwa umeisha? Nani anaamua hatima ya maisha yako? Haya ni maswali ambayo unaweza kuwa unajiuliza sasa. Sababu ya maswali hayo hapo juu inaweza kuwa ndiyo sababu iliyokusababisha kuwa hapo ulipo. [...]
