Itatokeo Na Kwako Lakini Inahitaji Hiki Kutoka Kwako……Itatokeo Na Kwako Lakini Inahitaji Hiki Kutoka Kwako……

Licha ya hamu kubwa ya kupata mtoto anayoweza kuwa nayo mama majamzito, lakini hulazimika kusubiri takribani miezi tisa ili hamu yake kutimizwa. Muda wa mama kusubiri humpa nafasi kukua kiasi cha kuweza kuhimili mazingira pindi atakapotoa nje ya mwili wa mama yake. Licha ya mbegu ya muhindi kuwa na uwezo [...]

Fanya Haya Ili Mbegu Yako Ya Uwezo Izae Matunda.Fanya Haya Ili Mbegu Yako Ya Uwezo Izae Matunda.

Mkulima akiliona embe huiona mbegu ndani ikiwa mti wenye matunda mengine mengi. Tofauti na mlaji, akiliona embe huona vipande vya embe kwenye sahani akivila huku akifurahia utamu wake. Hata kama mbegu ya mwembe itakuwa ina uwezo wa kuzaa matunda mengine lakini hupitia hatua mbalimbali ili kuweza kuzaa matunda hayo. Mkukima [...]

*Kuna Mapinduzi Makubwa Sana Yatatokea Kwenye Maisha Yako! Anza Kutumia Neno Hili….. Tu*Kuna Mapinduzi Makubwa Sana Yatatokea Kwenye Maisha Yako! Anza Kutumia Neno Hili….. Tu

Ni tamanio la watu wengi kutaka kufanya makubwa. Karibu kila mtu utakayemuuliza kama anataka kufanikiwa katika maisha yake atasema ndiyo. Licha ya matamanio hayo, wengi wameshindwa kupata mafanikio hayo. Lakini wapo ambao wapo ”bise” sana lakini bado hawafikii hata nusu ya matokeo wanayoyatarajia. Lakini wapo ambao hawajafikia mafanikio hayo wakisingizia [...]

Huyu Ndiye Anayekukwamisha Usifanikiwe! Mkamate Leo!Huyu Ndiye Anayekukwamisha Usifanikiwe! Mkamate Leo!

Ukienda mbele ya kioo cha kujitazamia, atakayekuwa anaonekana kwenye kioo hicho ni yule aliyesimama mbele ya kioo hicho. Miongoni mwa watu hao atakuwa ni wewe. Kwa hiyo kama akisimama pekeyako utaonekana pekeyako. Itakuwa ajabu kama utasimama mbele ya kioo ukaiona taswira moja tu kwenye kisha ukaanza kutafuta ni nani aliyesimama [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kufurahia Kifo Jioni Baada Ya Kuzaliwa Asubuhi.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kufurahia Kifo Jioni Baada Ya Kuzaliwa Asubuhi.

Kifo jioni! Hili linawezekana kuwa limekushitua sana baada ya kupata picha kuwa inabidi uzaliwe asubuhi kisha ufe jioni. Maisha ya binadamu yoyote yana matukio mawili muhimu, moja ni kuzaliwa ambao ni mwanzo na jingine ni kufa ambao ndiyo mwisho. Uhai wako ndiyo maisha yako. Jana ni muda ambao umekwishapita. Hutaupata [...]

Hii Ndiyo Njia Pekee Ambayo Wengi Wamepiga Hatua Kubwa Kupitia Maarifa.Hii Ndiyo Njia Pekee Ambayo Wengi Wamepiga Hatua Kubwa Kupitia Maarifa.

Wapo wachache walionufaika na maarifa, lakini wengi wakishindwa kutumia fursa hii katika kuishi maisha ya mafanikio. Huwezi kutenganisha mafanikio unayoyataka na maarifa. Kila utakachopanga kukifanya ili kupata mafanikio, kina changamoto zake hivyo kuhitaji majibu ili kuweza kuzitatua na kisha kusonga mbele. Changamoto nyingi ambazo mtu anakutana nazo na kisha kumkwamisha [...]

Dawa Ya Saba Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.Dawa Ya Saba Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.

Hongera kwa kufanikiwa kupata dawa sita sasa za kutibu ugonjwa wako wa kushindwa. Naamini kama umeendelea kutumia dawa hizi tangu siku ya kwanza mpaka sasa bila ya kuacha , basi utakuwa umeanza kupona. Endelea kunywa dawa hizi kila siku na ziwe sehemu ya maisha yako. Utajiuliza je sitapata madhara nikinywa [...]

*Dawa Ya Sita Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.**Dawa Ya Sita Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.*

Nikupe hongera kwa kuendelea kupata dawa kwa ajili ya ugonjwa wako wa kushindwa. Kama umefanikiwa kunywa dawa zote tano zilizopita, naamini utakuwa umeshaanza kupona ugonjwa wako. Kumbuka dawa ya kwanza ilikuwa ya kutibu mtazamo wako, ya pili ilikuwa ya kutibu kufanya vitu kiholela kwa kutoweka malengo. Ya tatu ilikuwa ya [...]

Dawa Ya Tano Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.Dawa Ya Tano Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.

Lazima upone tu ! Hiki ndicho kinachokwenda kutokea kwenye maisha yako kama kweli utakubali kunywa dawa hizi kwa ajili ya ugonjwa wako wa kushindwa. Mpaka sasa umeshapokea dawa nne kwa ajili ya ugonjwa wako wa kushindwa; kutibu mtazamo wako, kuishi kwa malengo, kupenda kazi na nidhamu. Hizi ni dawa ambazo [...]

Dawa Ya Nne Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.Dawa Ya Nne Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.

Hongera kwa kupata dawa tatu za awali kwa ajili ya kutibu ugonjwa wako wa wa kushindwa. Kama tulivyokubaliana kuwa ungonjwa huu unahitaji muunganiko wa dawa nyingiili kuweza kupona. Baada ya kupokea dawa ya kwanza ya kutibu mtazamo wako, dawa ya pili ya kukuponya kufanya vitu bila ya kuweka malengo, pia [...]