Dawa Ya Kwanza Kabisa Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.Dawa Ya Kwanza Kabisa Ya Kutibu Ugonjwa Wako Wa Kushindwa.

Ugonjwa ni hali ya kutokuwa sawa ndani ya mwili wa mtu. Hii ni hali ambayo inakifanya viungo au mfumo fulani kutokufanya kazi kwa ushihi. Kiungo hicho kisipofanya kazi kwa usahihi, huathiri na viungo vingine kutokufanya vizuri pia. Mtu huanza kusikilizia dalili pale ugonjwa unapokuwa ndani yake. Dalili mojawapo ni maumivu, [...]

Huwezi Kufika Safari Yako Kwa kuangalia ‘side mirror’ Pekee.Huwezi Kufika Safari Yako Kwa kuangalia ‘side mirror’ Pekee.

Hata kama wewe siyo dreva wa gari lakini naamini umeshawahi kupanda gari lenye vioo vingi vinavyomsaidia dreva kuangalia maeneno mbalimbali akiwa barabarani. Vioo mojawapo ni vile vidogo, na vipo pembeni na mbele ya gari. Vioo hivyo vina jina maarufu la ‘side mirror ‘. Kazi ya vioo hivi ni kumsaidia dreva [...]

Tatizo La Kutopata Matokeo Limeanzia Hapa.Tatizo La Kutopata Matokeo Limeanzia Hapa.

Licha ya kuwa na tamaa ya mafaniko lakini watu wengi wameshindwa kuyapata mafanikio hayo. Licha ya watu kuwa vizuri kwenye kuweka malengo na mipango lakini hawajafanikiwa kupata matokeo. Hii ndiyo sababu ya watu wengi kuwa palepale miaka nenda miaka rudi. Tatizo liko wapi? Hata wewe yamkini unaweza ukawa unajishuhudia kuwa [...]

Hii Ndiyo Njia Pekee Ya Kufaidi Maumivu Unayoyapitia.Hii Ndiyo Njia Pekee Ya Kufaidi Maumivu Unayoyapitia.

“Licha ya mzizi wa mti kubanwa na mawe, huacha kusikilizia maumivu na badala yake huhangaika na kupenya kwenye mawe hayo ili kukua kuyafikia maji na chakula” Kuna kitu kimoja ambacho ni cha uhakika ukiwepo hapa duniani, nacho ni maumivu. Duniani kuna miba, milima, mabonde, jua, mvua ambavyo utakutananavyo kwenye safari [...]

Usitafute Miguu, Anza Kutembea.Usitafute Miguu, Anza Kutembea.

“Kama nyoka angejitazama kwanza na kuamini hana miguu asingeweza kuchukua hatua na kukimbia kwa kasi kuliko jongoo mwenye miguu mingi” Kama ni suala la kutafuta visingizio na kushindwa kufanya chochote, basi nyoka angekuwa wa kwanza kuleta visingizio ambavyo vinaonekana wazi na ni vya kweli. Nyoka hana miguu, lakini hakutaka kuchukua [...]

Washa Njiti Ya Maisha YakoWasha Njiti Ya Maisha Yako

“Njiti ya kiberiti ina uwezo wa kuteketeza mamilioni ya hekta za misitu iliyounganishwa pamoja” Ukiangalia njiti ya kiberiti unaweza ukaidaharau sana na kuoana si chochote. Lakini njiti ya kiberiti ndiyo inayoanzisha moto na kuchochesha kiasi cha kuivisha tofari na hata kupasua miamba. Kadhalika njiti hiyo ina uwezo wa kuteketeza misitu [...]