Mafanikio Yako Yanaanza Leo.Mafanikio Yako Yanaanza Leo.

“Safari yako ya miaka mia moja inaanza na leo” Una ndoto kubwa ambazo unatamani uzifikie kwenye maisha yako. Yamakini ili kutimiza hizo ndoto hizo tayari umeshaweka malengo ya kuyatimiza kwa kipindi fulani. Watu wengi pia wamekuwa wakiweka malengo kama wewe, lakini ni asilimia ndogo sana ya watu waliofanikiwa kuzifikia ndoto [...]

Pandisha Ngazi Kupanda Kileleni.Pandisha Ngazi Kupanda Kileleni.

Hatua ya mafanikio ya maisha uliyofikia ni kwa sababu ya viwango ulivyojiwekea maishani mwako. Viwango hivyo ndiyo ndivyo vinavyoamua ufanikiwe kiasi gani kwenye kila nyanja ya maisha yako.  Viwango hivyo ndivyo vinavyoweka ukomo kwenye  mafanikio unayoyapata, hii ndiyo sababu ya kwa nini muda umezidi kwenda lakini bado upo pale pale. [...]

Tambua Iliko Thamani Yako Kubwa Isiyoonekana.Tambua Iliko Thamani Yako Kubwa Isiyoonekana.

Vitu vikubwa na vyenye nguvu kubwa huwa havionekani kirahisi kwa macho. Ni mpaka matokeo yake ndipo unajua kuwa kulikuwa kuna nguvu kubwa. Angalia umeme, huwezi kuuona kwa macho kirahisi lakini matokeo ya umeme kila mtu anayaona. Umeme unawasha taa usiku na kutupa mwanga. Umeme unaendesha mitambo mikubwa kama mashine za [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutengeneza Kesho Yako Leo.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutengeneza Kesho Yako Leo.

“Msitu wa miti unaouona leo ni matokeo ya miche iliyopandwa na kulindwa kwa miaka mingi hapo nyuma” Maisha yako ya leo sio ya leo bali ya miaka mingi ya nyuma. Kile ulichokuwa unakifanya miaka kadhaa iliyopita ndicho kilichokupa maisha yako ya leo. Kama unafurahia maisha yako leo ujue kwa asilimia [...]