Huyu Ndiye Mwalimu Mzuri Wa Maisha Yako.Huyu Ndiye Mwalimu Mzuri Wa Maisha Yako.

“Mtu aliyekanyaga mwiba hutoa mguu wake kwa haraka ili kuweza kuokoka na maumivu yanayomkabili”Watu wamekuwa hawapendi kusikia au kupata maumivu katika maisha yao. Wamekuwa wakifanya kila namna kuhakikisha wanayakwepa maumivu hayo. Kwa sababu ya maumivu watu wameogopa kutoka nje na kutembea wakitafuta kwa sababu ya kuogopa kukanyaga miiba yenye maumivu. [...]

Hii Ndiyo Sumu Ya Kutopata Matokeo Unayotaka.Hii Ndiyo Sumu Ya Kutopata Matokeo Unayotaka.

Siku hizi nipo busy! sana kila wakati kuna kitu nafanya. Kazi zimekuwa nyingi sana naanza asubuhi sana na kumaliza usiku sana! Hizi ni baadhi ya kauli ambazo huwa zinatumiwa na watu wengi kuwasilisha ujumbe ni kwa namna gani wapo busy na maisha. Wewe unaweza ukawa miongoni ukiyafanya haya au umekuwa [...]

Mruhusu Huyu Aishi Maisha Yako.Mruhusu Huyu Aishi Maisha Yako.

“Hata kama mtasimama watu wengi, bado kila mtu atatengeneza kivuli chake”Ukisimama sehemu yenye mwanga upande mmoja nyakati za usiku kivuli kitatokea. Mtu mwingine akisogea mahali hapo, kivuli kingine kitajitokeza. Hata pale watu kumi watakaposogea bado kila mtu atatengeneza kivuli chake. Hii inamaanisha kuwa hakuna namna yoyote mtu anaweza kuzalisha kivuli [...]