Kwa Nini Unajifungia Mwenyewe?Kwa Nini Unajifungia Mwenyewe?

Binadamu ameshindwa kutumia hazina kubwa ya uwezo ndani yake kwa sababu ya ukomo anaojiwekea. Wapo watu wanaoendelea kuendesha magari ambayo wao wanatafsiri ni ya kawaida huku wakiishia kutamani magari mazuri. Ukimwuliza kwa nini hamiliki gari hilo anasema yeye hufanana na gari hilo. Gari hilo zuri ni watu wa daraja fulani [...]

Macho Yako Yanatazama Nini?Macho Yako Yanatazama Nini?

“Simba hakosi amani kwa sababu hajui urefu wa shingo ya twiga, bali jitihada zake huwa kuhakikisha twiga huyo anakuwa kitoweo” Dunia ina mambo mengi, ina taarifa nyingi na vituko vingi. Kwa kuzingatia wingi wa mambo ya dunia huwezi kumaliza kuyaelewa. Wingi wa mambo ambayo mtu anaweza kuyafanya umekuwa mwiba kwa [...]

Pandisha Viwango Kufikia Utajiri.Pandisha Viwango Kufikia Utajiri.

Hatua ya mafanikio ya maisha uliyofikia ni kwa sababu ya viwango ulivyojiwekea maishani mwako. Viwango hivyo ndiyo ndivyo vinavyoamua ufanikiwe kiasi gani kwenye kila nyanja ya maisha yako.  Viwango hivyo ndivyo vinavyoweka ukomo kwenye mafanikio unayoyapata, hii ndiyo sababu ya kwa nini muda umezidi kwenda lakini bado upo pale pale. [...]

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuepuka Foleni Ya Umasikini.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuepuka Foleni Ya Umasikini.

Licha ya jamii yetu kuwa na watu wengi sana, ni idadi ndogo sana ya watu ambao ni matajiri. Utajiri ninaoutaja hapa ni ule uhuru wa kifedha. Ni watu wachache sana ambao fedha siyo kikwazo katika maisha yao. Idadi kubwa ya watu wengi wasio huru kifedha imetengeneza foleni kubwa. Foleni hiyo [...]