Usihangaike Kunyoosha Kivuli Cha Mti; Nyoosha Mti Wenyewe.Usihangaike Kunyoosha Kivuli Cha Mti; Nyoosha Mti Wenyewe.
Itakuwa ni ajabu sana kwako kama utamuona mtu yupo ‘busy’ akijaribu kunyoosha kivuli cha mlingoti kwa sababu taswira yake inaonyesha imepinda akitarjia atafanikiwa kufanya hivyo na kuunyoosha mlingoti huo. Mtu huyo ungefikiri kuwa atakuwa na upungufu wa akili. Lakini jambo hili lipo katika jamii na ndilo linalochangia kushindwa kwa watu [...]
Iga Kitu Hiki Wanachokifanya Waliofanikiwa Baada Ya Kushindwa.Iga Kitu Hiki Wanachokifanya Waliofanikiwa Baada Ya Kushindwa.
“Ili mcheza mieleka ashinde, hutamani mshindani wake asiamuke baada ya kuanguka chini. Kuamka kwa mshindani wake huona mashindano yakianza upya”Hakuna ambaye hajawahi kujikwaa na kudondoka katika kutembea kwake. Kujikwaa na kudondoka si habari inayoshtua, habari inakuwa pale unapoanguka na kuendelea kulala palepale. Mtu ukianguka watu hutarajia kuwa utaamuka kisha kujiangalia [...]
Hivi Ndivyo Umekuwa Ukilisukuma Gari Ukiwa Ndani Ya Gari Hilo Ukitarajia Litatembea.Hivi Ndivyo Umekuwa Ukilisukuma Gari Ukiwa Ndani Ya Gari Hilo Ukitarajia Litatembea.
Moja mbili tatu, sukuma! Moja mbili tatu, sukuma! Mbona gari halisogei? Hizi zilkuwa ni sauti za watu waliokuwa wanasukuma gari angali na wao wakiwa wamepanda humo humo. Licha ya idadi yao kuwa kubwa na wakiwa wenye nguvu lakini jitihada zao hazikuweza kuzaa matunda ya kulifanya gari lisogee. Jambo hili liliwafanye [...]
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutumia Sumaku Iliyopo Ndani Yako Kuvuta Mafanikio.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutumia Sumaku Iliyopo Ndani Yako Kuvuta Mafanikio.
Ukichukua unga wa chuma na kuusogeza karibu na sumaku, unga huo utavutwa kwenye sumaku. Sumaku haitakuwa na mjadala kama ivute chuma hicho au la. Lakini ukichukua unga wa mahindi na kuweka karibu na sumaku hakuna kitakachoendelea zaidi ya kubaki vinatazamana. Nguvu ya sumaku kuvuta chuma ipo ndani yako ambayo unaweza [...]
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kukimbia Hata Kama Huioni Miguu Yako.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kukimbia Hata Kama Huioni Miguu Yako.
“Licha ya jongoo kuwa na miguu mingi lakini hushindwa kasi na nyoka ambaye hana hata mguu mmoja”Kama uwingi wa miguu ungekuwa ndiyo kigezo pekee cha kasi ya kutembea, basi jongoo angekuwa na kasi hata ya kuzidi kasi ile ya farasi. Lakini licha ya jongoo kuwa na miguu mingi bado ana [...]
