Hivi Ndivyo Unavyoweza Kukimbia Hata Kama Huioni Miguu Yako.Hivi Ndivyo Unavyoweza Kukimbia Hata Kama Huioni Miguu Yako.

“Licha ya jongoo kuwa na miguu mingi lakini hushindwa kasi na nyoka ambaye hana hata mguu mmoja”Kama uwingi wa miguu ungekuwa ndiyo kigezo pekee cha kasi ya kutembea, basi jongoo angekuwa na kasi hata ya kuzidi kasi ile ya farasi. Lakini licha ya jongoo kuwa na miguu mingi bado ana [...]

Usikose Muda Wa Kunoa Shoka Kabla Hujaanza Kukata Mti.Usikose Muda Wa Kunoa Shoka Kabla Hujaanza Kukata Mti.

Aliyewahi kuwa Rais wa Marekani Abraham Lincoln aliwahi kunukuliwa akisema “Give me six hours to chop down a tree and I will spend the first four sharpening the axe” ikiwa na tafsiri isiyo rasmi kuwa akipewa masaa sita ya kukata mti basi atatumia masaa manne ya kwanza kunoa shoka. Unaweza [...]

Tengeneza Nguvu Hii Kubwa Ya Mnyororo Kwenye Maisha Yako.Tengeneza Nguvu Hii Kubwa Ya Mnyororo Kwenye Maisha Yako.

Mnyororo huundwa na vipande vidogo vidogo vya chuma. Mnyororo una matumizi mbalimbali kama ulinzi (kufungia mbwa na mageti), kuvutia mashine kama vile magari, trekta nk. Licha ya mnyororo kuhitaji vipande vidogo vidogo ili kukamilika, una sifa ambazo unaweza kuzitumia na kuamsha nguvu kubwa za kukupa mafanikio makubwa maishani mwako. Zifuatazo [...]

Hivi Ndivyo Unavyomaliza Mafuta Ya Gari La Safari Yako Hapo Duniani.Hivi Ndivyo Unavyomaliza Mafuta Ya Gari La Safari Yako Hapo Duniani.

“Gari lililowasha na kuendelea kuunguruma bila ya kuondoka litaendelea kutumia mafuta hata baadaye mafuta kuisha kabisa” Chochote unachoweza kukifanya hapa duniani kimeunganisha na muda. Kama huna muda huwezi kufanya chochote.  Baada ya kufa muda na maisha yako hukoma pale kwani hutaweza kufanya kitu chochote. Licha mtu anaweza kufa muda wowote [...]