Usiendelee Kuishi Na Yeye Feki, Baki Kuwa Wewe HalisiUsiendelee Kuishi Na Yeye Feki, Baki Kuwa Wewe Halisi
Licha ya kwenda mbele ya kioo na kujitazama lakini bado ukitazama ndani yako unaweza kumuona mtu mwingine tofauti na yule uliyemuona mbele ya kioo cha kujitazamia. Ø Je umekuwa ukiishi lakini unaona kama kuna mtu mwingine zaidi ya ulivyo sasa? Ø Je upo sehemu lakini huwa unajiona kuwa kuna sehemu [...]
