Muda Unaenda! Badili Wachezaji Ili Upate Matokeo.Muda Unaenda! Badili Wachezaji Ili Upate Matokeo.
Kila timu inayoshiriki mechi ya mpira wa miguu huwa na wachezaji kumi na moja ndani ya uwanja. Lakini pia kila timu huwa na wachezaji kadhaa nje ya uwanja kwa ajili ya kufanyia mabadiliko. Pale mchezaji mmoja uwanjani anapoumia na kushindwa kuendelea na mchezo, kocha hulazimika kumtoa na kumuingiza mchezaji aliyekuwa [...]
